01:32:58

Country Flag

M-BET « YA YO » imezaliwa. Hii ni Jumuiya ya M-BET ambayo inakupa zawadi, mitoko na michongo wewe mnazi wa michezo.

Kila mwezi uutapata taarifa ya jumla ya points ulizokusanya kwa njia ya WhatsApp au DM ya Instagram pamoja na zawadi utakazoweza kushinda.

Katika nyakati ambazo hauna namna ya kupatikana kwa njia tajwa za mawasiliano, unaweza kutupata kwa njia ya simu zetu za kudhibitisha kua wewe ni mmiliki halali wa akaunti tyako.

Sheria na kanuni za Promosheni

MASWALI YANAULIZWA MARA KWA MARA

1.- M-BET « YA YO » ni nini?

Hii ni club ya wachezaji waliojisajili kwakua na akaunti hai ya M-Bet na kucheza tiketi kwa mwezi husika ambapo wanaweza kupata zawadi na mitoko adimu. Kwa kila Tsh 10,000 inayochezwa na kupotezwa kwenye michezo utapokea M-Bet « YA YO » 1 ambayo unaweza kuikusanya na kubadili kua zawadi au mitoko.

2.- Nawezaje Kujiunga na M-BET « YA YO » ?

Jisajili na M-BET na uwe na akaunti hai na kuanza kutengeneza tiketi.

3.- Nawezaje kujua jumla ya M-Bet « YA YO » zangu na zawadi nazoweza pata?

Kila mwezi utapokea idadi ya points ulizokusanya kwa njia ya WhatsApp au Instagram ikiwa unahitaji kuendelea kukusanya pointi zako au kuzibadili kua zawadi zilizopo. Aina ya zawadi na mitoko inayopatikana zinawekwa kwenye tovuti au app zetu.

4.- Nina muda gani mpaka niweze kutumia « YA YO » zangu?

Points unazozikusanya zina uhai wa mpaka robo mwaka (Miezi Mitatu) kwani kutakua na mabadiliko ya zawadi kila robo mwaka na hivyo kukufanya ufurahie mitoko tofauti. Kwa kila robo mwaka ambayo Likes hazijatumika zitafutwa.

5.- Nawezaje kutoa au kupata points kutoka kwa mtu mwingine?

M-Bet points haziwezi kuhamishwa kati ya watu.

6. - Una maswali ya ziada?

Angalia taarifa juu ya program ya M-Bet « YA YO » kwenye ukurasa ya Masharti na Vigezo.


VIGEZO NA MASHARTI

Ofa hii itadumu kuanzia Aprili 11 mwaka 2024 hadi Aprili 11 mwaka 2025 kwa washiriki walioko RDC ambao wamesajiliwa na M-BET.

  1. Kushiriki kwenye programu hii ya kipekee ni lazima uwe na akaunti na M-BET na uwe mchezaji hai. Mchezaji atajikusanyia pointi au M-BET « YA YO » pindi anapo jisajili, anapocheza na kupoteza tiketi za michezo.
  2. Kwa kushiriki kwenye programu ya M-BET « YA YO », mshiriki amewia kupokea taarifa kila mwezi na matumzi ya jina analotumia endapo atashinda zawadi. Chini ya hali yoyote hatutatumia maelezo binafsi kwa madhumuni ya kutangaza na/au uuzaji bila idhini yako ya kimaandishi.
  3. Mshiriki atapata M-BET « YA YO » moja kwa kila TZS 10,000 iliyowekwa, kuchezwa na kupotea (hasara halisi) tangu kujiunga na programu ya pointi, na hasara halisi zitahesabiwa kila mwezi. Pointi ni za kipekee na haziwezi kuhamishwa kwa watumiaji wengine, na haziwezi kubadilishwa kwa aina nyingine yoyote ya tuzo au zawadi isipokuwa zile zinazotolewa kila robo mwaka.
  4. Mshiriki atapokea taarifa za makusanyo ya M-BET LIKES zake kila mwisho wa mwezi. Mwishoni mwa kila robo mwaka, mtumiaji atapokea ujumbe mmoja wa habari kupitia WhatsApp, Instagram DM au ujumbe mfupi wa maandishi wenye jumla ya pointi zilizokusanywa na zawadi zinazopatikana kwa ukombozi, kama kukiwa na a pointi za kutosha. Zawadi zinazohusisha udhamini wa timu ya mpira Simba SC zinawezakutolewa kila mwezi na zingine kutolewa mwezi unaofuata na kuripotiwa kwa wakati.
  5. Zawadi zitakazotelewa zitatangazwa kila robo mwaka. Pointi zitakazo kusanywa na kutobadilishwa kua zawadi kila robo mwaka zitapotea. Ratiba ya Robo Mwaka itakua kama ifuatavyo:
    • Kuanzia Aprili 4 Mpaka Julai 4 2024.
    • Kuanzia Julai 5 Mpaka Oktoba 4 2024.
    • Kuanzia Oktoba 5 Mpaka Januari 4 2025.
    Iwapo kwa sababu zilizo nje ya uwezo zawadi haipatikani, M-BET itajitolea kutoa kipengee mbadala cha thamani sawa au sawa.
  6. Ili kukomboa pointi kwa tuzo, zawadi, au mitoko, mtumiaji lazima afuate hatua zilizoonyeshwa na M-BET mwishoni mwa kila robo mwaka, kabla ya majumuisho ya pointi kuanza tena. Mtumiaji lazima awe na akaunti hai ikiwa na tiketi zilizowekwa mwezi uliopita.
  7. M-BET ina haki zote za kubatilisha au kupunguza zawadi za “M-BET Likes You” kwa mtumiaji yoyote endapo upatikanaji wa zawadi ulifanywa kimakosa ya kimfumo, wizi, tatizo la kiufundi au sababu zingine zozote zisizotabirika.
  8. Ukwikwaji wa aina yoyote wa matumizi ya promosheni hii hayataruhusiwa. M-BET ina haki zote za kuzifungia akaunti au kubatilisha matumizi ya akaunti ya mtuamiaji yoyote endapo itabaini kua na tabia zisizofuata miongozo iliyiwekwa.
  9. M-BET ina haki zote za kuboresha au kusitisha promosheni hii pasipo kutoa taarifa za awali kwa watumiaji.
Hitilafu

Kulikuwa na tatizo!

ENDELEA
amana imefanywa

No deposits available

ENDELEA
preload